Ufikiaji Lugha

Nini Ufikiaji Lugha?

Katika shule ya wilaya ya umma ya Holyoke, tunahitaji wazazi na walezi wote wa kisheria kufaidika kutokana na kushiriki kwenye maana katika elimu ya watoto wao. Mzazi yeyote hafai kutafuta usaidizi wa lugha kutoka kwa familia, walezi wa kisheria au watoto ili kuwasiliana na shule. Ufikiaji lugha huwasaidia wazazi na walezi wa kisheria walio na Kiingereza finyu kuwasiliana kwa njia bora na wafanyikazi wa shule. Mwongozo huu unaelezea kanuni za kuweza kufikia lugha na taratibu za kufuata ili kutoa huduma za tafsiri (maandishi) na ukalimani (matamshi) kwa familia zote zinazohitaji huduma hiyo. Kama unayo maswali yoyote, malalamiko au maoni, piga nambari ya simu iliyo kwenye sehemu ya chini ya ukurasa huu.

Huduma za Tafsiri & Ukalimani Kwa Familia

Uombaji Huduma

Wafanyakazi wa Shule ya Umma wa Wilaya

Tafadhali omba huduma za utafsiri na ufasiri kwa kutembelea ukurasa wa ‘Ufikiaji Lugha’ uliyomo katika wavutindani ya ‘Kituo cha Rasilimali ya Wafanyakazi’, ipatikanayo chini ya ‘Muhimu kwa Wafanyikazi’ kwenye ukurasa wa mtandao wa HPS.

Wazazi na Walezi

Ikiwa unahitaji huduma za utafsiri na ufasiri, wasiliana na ofisi kuu ya shule ya mtoto wako. Ikiwa lugha yako ya mawasiliano ni tofauti na Kiingereza, lazima wilaya / shule ikupe “habari zozote  muhimu” kupitia ile lugha unayopendekeza.

Tunachofanya

Jukumu la Timu ya Tafsiri ya Huduma za Wanafunzi ni kuhakikisha kuwa familia ina ufikiaji wa maana katika nyanja zote, ratiba, fursa na huduma zinazohusiana na elimu ya watoto wao kwa kutoa huduma nyingi za lugha kupitia rasilimali za ndani na nje ili kulinda mawasiliano.

Wasiliana

Mtafsiri na Mfafsiri
Idara ya Huduma za Wanafunzi

Nick Magnolia
HPS Translation Manager
nmagnolia@hps.holyoke.ma.us
413-512-5358

 

Marilyn Ramos
District Translator & Interpreter
mramos@hps.holyoke.ma.us

 

Linette Clayton
District Translator & Interpreter
lclayton@hps.holyoke.ma.us

 

Sharina De Leon Bermudez
District Translator & Interpreter
sdlbermudez@hps.holyoke.ma.us

Fomu ya Mzazi/Mlezi ya Moani na Maombi

Shule za Umma za Holyoke huthamini maoni kutoka kwa wazazi na walezi halali ambao wameshirikiana na mkalimani wa wilaya au ambao wangependa kuomba usaidizi wa lugha. Tafadhali twambie kuhusu mashaka yoyote au maswali uliyonayo kuhusu tafsiri (ya kimaandishi au ya kuzungumzwa).
Print Friendly, PDF & Email